Simba imeandaa mkakati mpya wa usajili kwa ajili ya msimu ujao ambapo uongozi wa timu hiyo unataka kuhakikisha unamaliza ...
Baada ya serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai kusaini mikataba kuhusu uendeshwaji wa bandari ya Dar es salaam, wachambuzi wanansema bado kuna utata katika ubia huo, uliozua upinzani ...
Familia nyingi nchini Tanzania bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika mwezi Oktoba. Watetezi wa haki wanasema huenda ...
Kufuatiwa kusimamishwa kwa Kocha mkuu wa Tanzania Adel Amrouche hapo jana kutokana na maamuzi ya shirikisho la mpira barani CAF, Msemaji wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Cliford Ndimbo ...
Licha ya Tanzania kuwa na idadi kubwa ya mifugo na kuzalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka, nchi bado ...