News

Padri Nkwera licha ya kutoa huduma za kiroho alikuwa mtaalamu wa lugha ya Kiswahili na mpaka amefariki dunia ameandika zaidi ya vitabu 150.
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limemsamehe na kumrejeshea zaidi ya ng’ombe 500 Mzee Igembe Mahola mkazi wa Kijiji cha Iyala Kata ya Luhanga katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ambaye alikuwa a ...
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Rustem Umerov amewaambia waandishi wa habari wa Ukraine kuwa "Tumejadili suala la kusitisha ...
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu amesema utekelezaji wa mradi wa Tanzania kidigitali utasaidia mifumo ...
Israel inasema iliwalenga wapiganaji wakuu wa Hamas waliojificha miongoni mwa raia katika hospitali ya Khan Younis.
Takriban watu mia moja waliandamana Jsiku ya umanne tarehe 13 na Jumatano Mei 14 huko Diafarabé, katikati mwa Mali, kupinga ...
MAMIA ya waombolezaji wamemzika aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ...
Charles aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, alifariki dunia Mei 11, 2025, jijini Dar es Salaam.
Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya ...
“Kutokana na mabadiliko ya ratiba, marehemu Charles Martin Hilary ataagwa tarehe 14 Mei 2025 katika Viwanja vya Mapinduzi ...
Mpiga gitaa mkongwe nchini, Omar Seseme aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo anazikwa leo katika ...