NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Freeman Mbowe ameomba achaguliwe tena kukiongoza chama ...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza masuala manne ya kutafakari na kufanyia kazi kwa viongozi wa chama hicho, ikiwamo kuzingatia miiko, kupinga dhuluma na ...