Ingawa ushindi huo umetabiriwa kuwa mwanzo mzuri wa kushuhudia kishindo cha siasa za upinzani, wapo wanauona kuwa hatari kwa ...
Hata hivyo, kupitia jopo la mawakili wake amefungua mashauri mawili ya maombi ya Jinai Mahakama Kuu, chini ya hati ya dharura, akihoji uhalali wa shtaka linalomkabili katika Mahakama ya Kisutu.