Dk Ochina anasema mara nyingi wagonjwa hao hufika wakiwa wamepata kiharusi, mshtuko au shambulio la moyo, lakini wanaongoza ...
Mvua hizo zinatarajia kunyesha msimu wa masika Machi- Mei 2025 za chini ya wastani hadi wastani ni maeneo ya mikoa ya Pwani, ...
Vilevile magonjwa yanayoathiri uchakataji vitamini D inayosaidia kuimarisha mifupa, matatizo ya tezi, unywaji pombe ...
Rangi za kucha zinaweza kuwa na kemikali zinazomdhuru mjamzito, hasa akiwa mtumiaji wa muda mrefu na kwa kiasi kikubwa.
United tofauti na inavyofanya kwenye ligi kuu, huku imeonekana kuwa bora kutokana na kushinda michezo minne kati ya saba ...
Majimbo manne - Washington, Arizona, Illinois na Oregon - yamepinga amri hiyo, yakisema ingeleta madhara makubwa kwa raia wa ...
Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, amesema katika mambo yaliyoibeba zaidi ligi hiyo ...
Dar es Salaam. Katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ...
Safari hii kuna uwezekano wa kukutana tena katika Kombe la Shirikisho, lakini ni hatua ya robo fainali na Kocha Julie alisema ...
Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo kufuatilia mienendo hiyo na kuchukua hatua haraka kwa watumishi wachache wanaotengeneza ...
Kwa Tanzania bei ya peni moja ya insulin ni kati ya Sh20,000 mpaka Sh30,000 na kuna wagonjwa wanatumia zaidi ya peni mbili kwa mwezi.
Jumla ya watahiniwa wa shule 477,262 kati ya 516,695 wenye matokeo sawa na asilimia 92.37 wamefaulu kwa daraja la kwanza hadi ...