WAZIRI wa Madini, Antony Mavunde amewataka wananchi wa Wilaya ya Chato kutunza miundombinu ya maendeleo,inayojengwa ili idumu na kuwa na tija kwa vizazi vijavyo kwakuwa serikali inatumia gharama kubwa ...
DIWANI wa Kata ya Itwangi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Sonya Mhela amefariki dunia, akipatiwa matibabu Bugando Jijini ...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi, Dk. Pindi Chana, amehitimisha kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya kuanzishwa kwa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziagiza taasisi zote zinazotoa huduma za ...
IMESHAURIWA na wanataaluma wa afya ya akili kwamba, mahali pa kazi kuwapo ‘mentors’ (washauri), ili kuponya ‘majeraha’ ya ...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, jana ameibua kero tatu za wakulima na wafugaji, akimtaka Katibu Mkuu wa Chama ...
HATIMA ya mshtakiwa wa kesi ya kuwatuma vijana kumbaka na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya Dar es ...
ALIYEKUWA Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kwa jina la ‘Boni Yai' ametaja mambo matano aliyojifunza akiwa mahabusu atakayokwenda kuyasimamia baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi y ...
WAKATI Mabingwa wa Tanzania Bara wakipangwa Kundi A kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na TP Mazembe ya ...
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi, ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), imeipiga faini Klabu ya Coastal Union na ...
KLABU ya Simba imesema itafanya usajili wa wachezaji wapya kipindi cha dirisha dogo la usajili na kuondoa wale ambao ...
UJASUSI wa kidijitali ni jambo linalowahusu wanaotumia vifaa vya mawasiliano kama simu janja au ‘smartphones’ kuujua ukweli ...