Mashamba yaliyoathirika yanamilikiwa na wakulima 31 ambao ni wanachama wa Amcos za Magunga na Ifuma zilizopo wilayani humo.
Magali amesema kupitia wiki hiyo wataelezea mwenendo wa nishati jadidifu na mbinu za ufanisi wa nishati na kuwaeleza wananchi ...
Bashe amesema inawezekana wakurugenzi nchini hawajawatembelea wakulima kwa kuwa wako katika maandalizi ya kupokea Mwenge wa Uhuru.
Aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Chadema katika uchaguzi wa Januari 21, 2025, Odero Charles Odero, amemshukuru mjumbe ...
Amesema baada ya kumpata mtoto huyo, wamempeleka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi ...
Utenguzi wa Mtahengera, unakuja miezi michache baada ya ugomvi wa mara kwa mara na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kwa ...
Miongoni mwa vifaa hivyo vya kisasa ni pamoja na mashine inayomsaidia daktari wa upasuaji kuona kwa ufasaha mpaka vishipa ...
Akizungumzia wizi wa miundombinu ya umeme, Chacha amesema imekuwa ni changamoto kubwa na sasa wameanzisha operesheni kubwa na wale watakaobainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Lutumo amesema tukio hilo limetokea katika kata ya Mwisenge, manispaa ya Musoma katika chumba alichokuwa akiishi enzi za uhai ...
Makonda amelitaka Jeshi la Polisi kihakikisha linatumia pikipiki hizo katika kuimarisha ulinzi na usalama wa mkoa huo ili ...
Kati ya hao, 98 wamekufa lakini wote walikabidhiwa jana Alhamisi kwa ajili ya matumizi ya kesi za jinai, katika hafla ...
Ingawa ushindi huo umetabiriwa kuwa mwanzo mzuri wa kushuhudia kishindo cha siasa za upinzani, wapo wanauona kuwa hatari kwa ...